CHAJIPOA — Chaji Popote!

Simu imezima?
Chaji popote.

Kodi power bank kwa dakika moja na uirudishe kwenye kibanda chochote Tanzania.

Hakuna app

Rudisha popote

Mobile money

Jinsi inavyofanya kazi

  1. 1

    Scan QR code

    Piga picha QR kwenye kibanda cha CHAJIPOA. Hakuna app ya kupakua.

  2. 2

    Lipa, chukua

    Lipa kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au HaloPesa. Power bank inatoka papo hapo.

  3. 3

    Rudisha popote

    Rudisha kwenye kibanda chochote cha CHAJIPOA. Amana inarudi ndani ya masaa 24.

Bei

Saa ya kwanzaTZS 600
Kila saa inayofuataTZS 400
Kikomo kwa sikuTZS 3,000
Amana (inarudishwa)TZS 5,000

Malipo salama kupitia AzamPay. Hatuhifadhi taarifa za malipo yako.

Anza kukodi

Una akaunti? Ingia